Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


.
#MBEZI_MWISHO
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
UMBALI KM 2
BEI NI 350,000/= X 6. AU 300K Mwaka 12
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747