Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Bucha, Dar es Salaam
๐Dakika 5 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road
๐Hii Inakuwa Wazi Tar 25/09/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
#SIFAZAKE
๐นVyumba Viwili, Hakuna Master
๐นSebule
๐นJiko
๐นPublic Toilet ya ndani
๐นUmeme & Maji #Inajitegemea
๐นFence Iko Nusu lakini Usalama ni Mkubwa na Parking Space salama Ipo. Na Kuna Mlinzi Kabisaa
โฆ๏ธKodi Tsh 350,000/=ร6(Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 350,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐