Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







✨️APARTMENT CLASSIC FOR RENT
WAHI MTEJA SIO YA KUKOSA NYUMBA NZURI SANA
KODI 450,000 × 6 Au 400,000 × 12
>NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENCE
>YA CHINI NDIYO IPO WAZI
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: DAKIKA 6-7 KWA KUTEMBEA TU 🚶🚶
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
✔️CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
✔️HEATER YA MAJI MOTO
✔️LUKU INAJITEGEMEA
✔️MAJI DAWASA NDANI 24HRS
✔️NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING KUBWA BUSTANI SAFI
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 🚗
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp