Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO 3 INAPANGISHWA BEI NI 250,000X5X6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA KIMOJA WAPO NIMASTA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
🌀#LUKU MITA INAJITEGEMEA
🌀#MAJI DAWASA MITA YAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA
đź’°BEI NI 250,000/= X 5 ,6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000 SIMU 0659336751 WSP 0786085637
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA