Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 Apartment Classic Inapangishwa
Location: KIMARA MWISHO [ TRA ]
Distance; KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
Kodi Kwa Mwezi Ni 400,000 × 3/4/5/6
🥕Sebule Kubwa
🥕Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
🥕Chumba Kimoja Master
🥕Jiko Kubwa la Kisasa
🥕Public Toilet Nzuri 🚻
🥕Tires,Gypsum Na Slide Windows
🥕Inajitegemea UMEME Na MAJI
🥕Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
🥕Reserve Tank Kubwa
🥕Fenced
🥕Full Paving Blocks 🚫
🥕Parking Space Available 🚘
🥕Good Environment 👍
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp