Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KAMA ULIKIMBIA BEI HAPA RUDI NA MBIO NYINGI SANA NIMESHUSHA NIMEUWA BEI 300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWA KWA MKUWA
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALALLDALA SH.500
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ZIPO APARTMENTS NNE TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
###0655256419