Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
NI APARTMENT YA =
Vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni mita yako.
Full paving block
Electrical Security
Ndani ya fensi parking space ipo.
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
NB= MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO, RUKSA KUONA NYUMBA NA KULIPIA ITAKUA WAZI TAREHE 01/01/2025. 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37