Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
๐ APARTMENT INAPANGISHWA
๐ Mahali: Kimara Korogwe
๐ Umbali: Dakika 3 tu kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi
SIFA ZA NYUMBA
๐น Vyumba 2 (kimoja ni Master)
๐น Sebule kubwa
๐น Jiko
๐น Choo cha familia (cha ndani)
๐น Umeme na maji vinajitegemea
๐น Fence & parking kubwa
๐ฐ Kodi: Tsh 450,000 ร 6 miezi
๐ฐ Dalali: Tsh 450,000
๐ฐ Service charge: Tsh 15,000
๐ Kumbuka: Mpangaji anatakiwa awe Muislam
๐
Itakuwa wazi tarehe 30/12/2025
Mteja anaweza kuja kuona mazingira ya nje na kufanya booking mwezi mmoja au miwili mapema โ inaruhusiwa.
๐ Wasiliana nasi:
๐ฒ 0679 997610(Simu & WhatsApp)



















