Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA TEMBONI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 12 - 14 Kutoka Main Road, Boda 1000
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Jiko Kubwa la Kisasa
โข Public Toilet ya Wageni
โข Heater za Maji
โข Balcony
โข Electrical Fance
โข CCTV Camera
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247
0754 221168