Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 3 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 500,000/=X12
AU 550,000/=X9
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO LINAFUNGWA MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE
ZITAKAMILIKA TAREHE 28/02
KUONA NA MALIPO NI RUKSA
Contact π²
0712528820
0685221354
Mr.