Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR CONDITION
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168