Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(270,000X7)KIMARA SUKA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 270,000\/=×7 ## ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 MALIPO YA MIEZI 7
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET NZURI SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 270,000\/=×7
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact
0716223412
0683597453