Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







New Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
KODI 400,000 × 6
Location: KIMARA STOP OVER
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 kutoka Main Road Na Barabara Ni NZURI Mpaka Getini
✅️Sebule Kubwa
✅️Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
✅️Jiko Zuri Kubwa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Parking Space Available 🚗
✅️Apartment inajitegemea LUKU Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp