Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA #KIBAMBA_SHULE #300k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
====
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
====
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni
===
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343