Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment nzuri sana inapangishwa #KIMARA_TEMBON barabarani kabisa
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/=
#FULL_A/C
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/08/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN NZURI
BEI NI 500,000/= Γ 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
ππ APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI (GHOROFA YA KWANZA )
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300