Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐จ๐ฅ#APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Baruti
๐Umbali kutoka standi ya mwendo kasi dakika 7 _8 kwa mguu
#SIFAZAKE
๐ฒVyumba Viwili, kimoja Master
๐ฒSebule
๐ฒJiko linawekwa makabati
๐ฒPublic Toilet ya ndani
๐ฒUmeme Luku Yake
๐ฒMaji meter yake na yanaflow ndani
๐ฒFence amna & Parking Kubwa mazingira mazuri sana
๐Mafundi wapo kazini kumalizia vitu vidogo dogo Tu
๐ทKodi Tsh 350, 000ร miezi 6/=
๐ทMalipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
๐ทService Charge. Tsh 15, 000/=
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347
______________