Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 200,000 x 6 KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI KILOMETER 2,5 TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ BUKU TU
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA NA JIKO LA KISASA PUBLIC TOILET YA NJE
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
FENCE INAMALIZIWA KUJENGWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637