Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐กAPARTMENT KALI MPYAA MPYAA ZINAPANGISHWA 
LOCATION KIMARA BARUTI
๐ฐKODI 525,000X6 
UMBALI DAKIKA 3 KWA MIGUU 
APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA 
>VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER 
>SEBULE
>JIKO LAKE 
>TOILET PUBLIC YA NDANI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANATILILIKA NDAN 
HITA YA MAJI BARID NA MAJI MOTO
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI MAFUNDI WAPO KAZINI
WANAMALIZIA KUPAKA RANGI NA PEVING 
 KUONA NA KULIPIA LUKSA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710๐ wahiii



















