Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 300,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
VYUMBA( 2 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
N:B KUNA PESA YA TAHANDHALI YA MWEZI MMOJA ( 300,000 )
NDANI YA FENSI PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT 0656623510
WSP 0752436347