Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







400,000 × 6
APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA AU TEMBON KOTE SAW
==== IKO WAZ TAYARI
Unaweza Ukapitia KIMARA SUKA Au KIMARA TEMBONI
Kote UNAFIKA
SEBULE KUBWA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI 🚻
KODI 400,000 × 6
==== Pesa Ya Kulinda Nyumba 200,000
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
Apartment ya juu ndo ipo wazi, inajitegemea umeme na maji parking na fence ya uhakika
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp