Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







[ 400,000 × 6 ] KIMARA TEMBONI
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Boda 1000 Mpaka Getini
✅️SEBULE KUBWA
✅️VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✅️NDANI YA FENCE
✅️KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✅️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️FULL PAVING BLOCKS 🚫
✅️PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp