Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA TEMBONI DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/=
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/08/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN NZURI
BEI NI 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
📌📌 APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI (GOROFA YA KWANZA )
KUPELEKWA SITE SHILINGI ELFU 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI 1
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024