Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6)KIMARA SUKA DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖
✔️VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC
✔️NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO MITA YA MAJI INAJITEGEMEA NA YANATOKA NDAN.
IPO NDANI YA FENC
ZIPO APARTMENT 2 NDANI Y COMPOUND 1
KWA KUTEMBEA DAKIKA 3
NB: PESA YA TAHADHARI MWEZI 1 ( COUTION MONEY 450,000)
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453