Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
PIGA SIMU 0755831740
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
UMBALI KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
.
SIFA ZA NYUMBA
==============
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT