Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
Kimara Stop over
kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda 1000 kwa mguu dk 15 mpaka Kwenye nyumba
๐HII INAFAULISHWA KUONA NA KUFANYA MALIPO INARUSIWA IPO WAZI
MALIPO KUAZIA MIEZI 3,4,5,6
SIFAZAKE
Vyumba Viwili, kimoja Master
Sebule
Jiko
Public Toilet
Umeme Luku Yake
Maji meter yake na yanaflow ndani
Lisave tank
Fensi & Parking Kubwa
๐ Ya Chini inapangishwa usisahau hela ya tahadhali mwezi mmoja km una miezi 2 njoo na hela ya tahadahali mwezi mmoja
Kodi Tsh 300, 000/= miezi kuazia 3 ,4,5, 6:
Malipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
Service Charge. Tsh 15, 000/=
SIMU 0659336751 WSP 0786085637