Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X5)KIMARA MWISHO
APARTMENT ZINAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA_KIMOJA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO_CHOO_CHA_FAMILIA
๐งLocation ::KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMETA 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
๐งBei :: 300,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 5 AU 6
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba viwili vya kulala
๐Kimoja Master
๐Sebule
๐Jiko lina makabati
๐Choo cha familia
๐Umeme Luku yako
๐Fenced kabisa
๐Maji mita yako pia
Nyumba ipo wazi tayari ndugu mteja
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0716223412
0683597453