Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA SANA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA SH 500,000/= X 6 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#CCTV CAMERA
#IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (FULL SECURITY)
BEI NI 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670