Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE NZURI YA KISASA
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 45000K X 6 LAKI NNE NA NUSU
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
Itakuwa wazi January TAREHE 1
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747