Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏡Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 12-15 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Bajaji 700
KODI 350,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Nzuri 🚻
✍️Tires,Gypsum Na Slide Windows
✍️LUKU Independent
✍️Water Meter Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced & Parking Space Available 🚗
✍️Full Paving Blocks 🚫
✍️Good Environment 👍
Service Charge 15,000/=
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp Only