Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT KALI SANA YA KIFAMILIA
KODI 400,000/= × 6
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 5
KWA MGUU
INAKUA WAZI TAR. 30/8/2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA
SIFA ZA NYUMBA
____________________
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE KUBWA SANA NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=========
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300