Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏠 APARTMENT INAPANGISHWA
📍 Mahali: Kimara temboni
🕓Umbali 2Km Kutoka Morogoro Road Bajaji 700 Boda boda 1000 tu
🏠SIFA ZA NYUMBA
🔹 Vyumba 2 (kimoja ni Master)
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko
🔹 Choo cha familia (cha ndani)
🔹 Umeme na maji vinajitegemea
🔹 Fence & parking kubwa
🔸 Kodi: Tsh 300,000 × 6 miezi
🔸 Dalali: Tsh 300,000
🔸 Service charge: Tsh 15,000
📞 Wasiliana nasi:
📲 0740 747 383 (Simu & WhatsApp)



















