Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Nyumba Ipo Upande Wa Kushoto Kutokea Ubungo Barabara ya Zege ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaj 500
Unaweza Ukapitia External Barabara ni Lami
Pia Zipo Daladala za Kariakoo Mnazi Mmoja Zipo
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Public Toilet ya Wageni
โข Jiko Zuri
โข Heater
โข Full AC
โข Electrical Fance
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 700,000/- Malipo Miezi 3
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp