Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 4
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VIWILI (2)VIKUBWA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 4
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI Dk 5 KWA MIGUU.
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710