Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(420,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
#PARKING
#PAVING
BEI NI 420,000/= × 6
ILIPWE LAKI 4 NA 20 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NAMAANISHA KWA KUTEMBEA KWA MIGUU
📌 ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300