Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1.4 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJ PIKPIKI UPO
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE
INAFANYIWA MAREKEBISHO
RANGI NJE NDANI ALUMINUM
ZINGATIA
ITAKUWA TAYARI TAREHE 31/01
KUONA NA MALIPO NI RUKSA