Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA MWISHO DK 10-12 KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA..UKIIONA HII KIMBIA
➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VIWILI (2)VIKUBWA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. ..BODABODA1000..
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683596453