Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA TEMBONI.
DK 10 TOKA MOROGO ROAD.
KODI > TZS 350.000/= X 6.
SIFA ZAKE.
Vyumba 2 kimoja masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 350,000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















