Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/01/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HEATER ZA MAJI MOTO
#PAVING
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0716 776247
0754 221168