Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BUCHA
DK 3 TOKA MAIN ROAD.
KODI NI 450,000ร5 + COUTION MONEY = MIEZ 6
NYUMBA YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
ZIPO APARTMENT 2 NDANI Y COMPOUND 1
KWA KUTEMBEA DAKIKA 3
NB: PESA YA TAHADHARI MWEZI 1 ( COUTION MONEY 450,000)
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.