Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 400,000x5
itakuwa waz tareh 1/5/20/24 kuona nakulipia ruksa
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na Choo cha public
Bei:400,000 Kwa mwezi Γ 5
pesa ya kulinda nyumba 200000
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
Apartment ya juu ndoitakuwa wazi, inajitegemea umeme na maji parking na fence ya uhakika
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
piga cm 0659336751 WSP 0786085637