Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟNEW Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
ZIMEBAKI 2 Changamka Boss ๐ฐโ๏ธ
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 Kutoka Mwendokasi Au Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 500,000 ร 6
โ๏ธSebule Kubwa Sana
โ๏ธVyumba VIWILI Vikubwa
โ๏ธChumba Kimoja Master
โ๏ธJiko Kubwa Linawekwa Makabati
โ๏ธPublic Toilet Inside ๐ป
โ๏ธUmeme Na Maji Independent
โ๏ธYanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
โ๏ธReserve TANKS
โ๏ธParking Space Available ๐
โ๏ธFull Paving Blocks
โ๏ธGood Environment ๐ฅ
Itakuwa Tayari Kuingia 20/10/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS ๐ฐ โ๏ธ
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp