Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 300,000X6
KIMARA STOPOVER  AU KIMARA SUKA ZOTE NJIA UMBALI WA KM 1 BODA 1000
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA LA KISASA 
PUBLIC TOILET KALI
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES  SAFI
SLIDE WINDOW 
MAZINGILA MAZURI 
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 300,000/=×6
What saapp number 0689-547258




















