Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x6.
——
PIGA SIMU
MPYAAA MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI SANA. ZINAPANGISHWA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZA NYUMBA
*INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
*SEBULE
*JIKO LINA MAKABATI
*CHOO CHA PUBLIC
#PARKING SPACE KUBWA SANA
🛣LOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15
BODABODA 1000 MPKA GETINI
💰BEI:LAKI 300K X MIEZI 6
SOMA KWA UMAKINI NDUGU MTEJA HII NYUMBA INAFAULISHWA KWA KODI YA 300 ILA KODI YAKE HALALI 350K KWAHYO MPANGAJI ATAPASWA KULIPA 350K KWA MWENYE NYUMBA KWA MUHULA WA PILI
SERVICE CHARGE TSH 15,000
TUPIGIE NAMBA
#0710614924
#0688653940