Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #250k
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji,
Umbali km 1.5 usafiri bajaji
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI