Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= × 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#AIR-CONDITION
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= × 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI SHILINGI LAKI 3
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU USAFIRI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















