Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#PAVING
#GARDEN
BEI NI 270K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌 APARTMENT HII MTEJA WANGU NDIO ANAHAMA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/05/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343