Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba viwilli (300,000) #KIMARA_MWISHO
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO NNE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
#HAKUNA_MASTER
🌀#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🌀#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
NB:NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 03/08/2025..KUONA NA KULIPIA RUKSA
💰BEI NI 300,000/= × 5 ,6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300