Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MZURI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA STOP
OVER
KODI 300,000X6
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU BODA 1000
UKISHUKA UPO NDANI
SIFA YA NYUMBA
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA DINNING
JIKO LA NDANI
NDUGU MTEJA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAPIGA RANGI UKILIPIA NYUMBA UNAPEWA WK 1
HII NYUMBA IPO BARABARA YA ZEGE ADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES 15.000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI