Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING

BEI NI 350,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA

O627977383

Dalali roony _ ubungo _ mbezi
dalali_roony_ubungo_mbezi
Dalali roony _ ubungo _ mbezi

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NEW NEW APARTMENT INAPANGISHWA #SEBULE KUBWA SANA#CHUMBA KIKUBWA #CHOO KIZURI CHA NDANI#JIKO ZURI #T...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NEW NEW APARTMENT INAPANGISHWA #SEBULE KUBWA SANA#CHUMBA KIKUBWA #CHOO KIZURI CHA NDANI#JIKO ZURI #T...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI ZINA KUWA WAZI TAR1.11.2024...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM 2CHUMBA MASTER BEDROOMSEBULE KUBWA SANAJIKO KUBWATYRIES GP...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI ZINA KUWA WAZI TAR1.11.2024...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI ZINA KUWA WAZI TAR1.11.2024...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI BARABARA YA CHUO{UDSM}DK 12 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI BARABARA YA CHUO{UDSM}DK 12 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER #300k=== Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebul...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA KIMARA STOPOVER UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU SOMA KWA M...