Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(350,000X6)KIMARA SUKA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #350k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali dakika 10 panatembeleka boda boda 1000
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji parking na Usalama wa uhakika.
====
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ
#0785889413